SW | EN
Kueneza Uinjilishi na Mafundisho ya Kanisa Katoliki

Karibu MLANGO WA IMANI MEDIA

Chaneli ya YouTube inayolenga kueneza ujumbe wa Mungu kupitia vipindi mbalimbali vya kiimani

Jiunge Nasi YouTube

VIPINDI VYA MLANGO WA IMANI

RATIBA YA VIPINDI KILA WIKI

Siku Kipindi / Maudhui Aina Saa
Jumanne Maisha ya kila siku ya Mkatoliki Video 07:00 PM
Jumatano Historia ya Uinjilishaji Video 06:30 PM
Jumatano Ijue Parokia Yako Video 07:30 PM
Alhamisi Mtakatifu/Watakatifu wa Wiki Video 07:00 PM
Ijumaa Vijana na Mazingira Video 07:00 PM
Jumamosi Maswali na Majibu(Live Stream) Video 06:00 PM
Jumamosi Wimbo wa Tafakari wa Wiki Video 07:30 PM
Jumapili Misa Takatifu Mubashara Video 08:00 AM
Jumapili Tafakari ya Kiimani(Jumapili) Audio + Video 05:00 PM
Jumapili Kusali Rozari Audio + Video 07:00 PM
Jumapili Fungua Wiki Kwa Maombi – Funga Wiki Kwa Shukrani | Tafakari ya Kiroho Audio + Video 09:00 PM

SALA YA ROZARI

MAWASILIANO

Tufuatilie kwenye mitandao yetu ya kijamii:

Au tuma barua pepe: info@mlangowaimanimedia.co.tz